NEWS JUST IN: Former Tanzania President Is Dead.
NEWS JUST IN: Former Tanzania President Is Dead: President Samia Suluhu has announced the death of Former Tanzania President, Ali Hassan Mwinyi.
President Samia Wrote,”Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu.
“Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Nchi yetu itakuwa katika kipindi cha siku saba za maombolezo, ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia kesho Machi 1, 2024. Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi atazikwa tarehe 2 Machi 2024 huko Unguja, kisiwani Zanzibar. Inna Lillahi wa inna ilayhi raaji’un.”
Mwinyi is known in Kenya for his work in fostering diplomatic relations between Kenya and Tanzania during his presidency from 1985 to 1995.
He worked closely with Kenyan leaders to strengthen cooperation between the two neighbouring countries, particularly in areas such as trade, security, and infrastructure development.
He also played a significant role in mediating regional conflicts and promoting peace and stability in East Africa
Also read BREAKING NEWS: KMPDU Sec Gen Atellah Has been Shot